Wito kwa Rais Ruto Kuzuia Maziko ya Vyombo vya Habari: Sepetuko
Published Mar. 18, 2024
00:00
00:00

Vyombo vya habari vilivyo dhabiti na huru ni msingi mojawapo wa demokrasia. Kwa demokrasia kuendelea kudumu nchini Kenya, ni muhimu kwa serikali kutolemaza vyombo vya habari vya kibinafsi vilivyopo. Sepetuko inamrai Rais William Ruto kutoruhusu maziko ya vyombo vya habari kufanyika wakati wa hatamu yake.