Mgomo wa Madaktari: Serikali Yalaumiwa Kwa Kupuuza Afya ya Wananchi
Published Mar. 15, 2024
00:00
00:00

Mgomo wa madaktari unaoendelea nchini unaionesha serikali kuwa isiyomjali raia. Afya ni kiungo muhimu katika uhai wa binadamu, hivyo serikali lazima ifanye kipaumbele suala la kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma bora za matibabu. Ni muhimu kwa serikali kufanya mazungumzo na vyama vya madaktari ili kuhakikisha mwananchi hataabiki kupata huduma za matibabu.