The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Maafisa wa shirika la Msalaba Mwekundu (Kenya Red Cross) waondoa mwili wa mmoja wa waadhiriwa wa mporomoko wa ardhi eneo la Chesongoch, Kaunti ya Elgeyo Marakwet, Novemba 02, 2025. [Peter Ochieng, Standard]
Chama cha Wataalam wa Uthamini na Upimaji wa Ardhi Kenya (ISK) kimesema kuwa ukataji miti ovyo, matumizi yasiyo endelevu ya ardhi na upangaji duni wa makazi vimeongeza kwa kiasi kikubwa matukio na madhara ya maporomoko ya ardhi nchini.
Kwa mujibu wa ISK, kuendelea kuharibiwa kwa misitu kumeosheleza udongo, kudhoofisha miinuko na kuvuruga mifumo ya asili ya maji ambayo husaidia kuzuia majanga kama haya.
Get Full Access for Ksh299/Week
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access