Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

DCI na IEBC waendelea kutofautiana kuhusu raia 3 wa Venezuela waliokamatwa wakiwa na vibandiko vya masanduku ya kupigia kura

Maswali mengi yanaendelea kuibuka kuhusu raia watatu wa Venezuela ambao walinaswa wakiwa uwanja ndege baada ya kupatikana na makasa ya vibandiko vya uchaguzi katika hali tatanishi.

Haya yanajiri wakati ambapo Idara ya Upelelezi DCI imeendelea kuibua taarifa ambazo zinaashiria utata katika safari ya watatu hao kuja Kenya wakisemekana kuwa wafanyakazi wa kampuni iliyopewa kusimamia teknolojia.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News

Related Topics

DCI, IEBC, Uchaguzi