The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Mwenyekiti wa Chama cha FORD Kenya na vilevile Mbunge wa Kwanza Kaunti ya Trans Nzoia, Ferdinand Wanyonyi amemtahadharisha Rais Uhuru Kenyatta kutofurahia na kushabikia mapema ndoa ya kisiasa baina yake na Kinara wa NASA Raila Odinga.
Kwenye kikao na wanahabari katika Shule ya Upili ya Wasicahana ya Alexernder Muge, Wanyonyi amekariri kuwa bado kuna mengi ya kusubiriwa kubaini ikiwa ndoa hiyo ya kisiasa itadumu au la.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.