.
2nd February, 2019
Na leo kwenye majira ya saa moja unusu katika ktn news utamtazama mwanamuziki aliyevuma katika miaka ya nyuma Sukuma bin Ongaro. Siku hizi anaimba nyimbo za injili na anajulikana kama ongaro digital. Mary kilobi atwoli alimhoji mzee huyo mwenye simulizi za kuvunja mbavu.