7th March, 2018
Mwafrika wa pekee kuteuliwa kwa tuzo la ulimwengu la elimu almaarufu Gess awards gideon kyalo amerejea humu nchini.Kyalo aliyeanza maisha kama mfagiaji kwenye hoteli moja jijini kabla ya kuwa mmiliki wa shule kadhaa alituzwa kwa mchango wake kwenye sekta ya elimu