Gideon Kyalo ateuliwa kwa tuzo ya kimataifa ya elimu Dubai

KTN Leo | Tuesday 13 Feb 2018 7:16 pm

Katika hamu yao ya kutaka kufahamu yanayoendelea nchini kila siku, wakongwe wapatao hamsini katika kaunti ya Migori na wameamua kumpa mwanamume mmoja kazi ya kuwasimulia yaliyomo kwenye magazeti. Charles Juma amekuwa akiwaelimisha wazee hawa kutoka number junction katika eneo bunge la Suna West kwa miaka mitano sasa