KTN Leo Septemba 19 2016: Wezi wapora kanisa huko Nyeri
19th September, 2016
Mwizi ni mwizi tu na ataiba chochote maadamu hisia zake zinamuonyesha afanye hivyo. Kisa cha wizi uliofanywa ndani ya kanisa la P.C.E.A Chaka katika kaunti ya Nyeri, ambapo wezi walibeba hadi sakramenti.