Anne Waiguru ajitetea kwa kumlaumu katibu wake mhandisi Peter Mangiti
4th November, 2015
Waziri wa ugatuzi Anne Waiguru amemlaumu katibu wake mhandisi Peter Mangiti kwa ubadhirifu ambao umeshuhudiwa katika idara ya uhasibu katika wizara yake. Waziri Waiguru amesema kuwa yeye hahusiki na mswala ya ununuzi. Haya yanajiri wakati mbunge wa Nandi Alfred Keter akipata kuungwa zaidi katika mswada wake wa kumuondoa waziri waiguru mamlakani. Hussein Mohammed anaarifu.