Waganga bandia wawili wa Tanzania wamtapeli mwanamke mmoja milioni Tisa
29th May, 2014
Raia wawili kutoka tanzania wanaosemekana kuwa waganga wamefungwa gerezani baada ya kudaiwa kutampeli mwanamke mmoja Shilingi milioni tisa. Wawili hao walimhadaa mwanamke huyo kwa kumwambia kuwa walikuwa na uwezo wa kuongeza pesa zake maradufu