Mui huwa Mwema: Jamaa aliyekuwa jambazi sugu na kuamua kugeuka
1st March, 2014
Mui huwa mwema ndio kauli aliyothihirisha Steve mbugua ambaye kwa wakati mmoja alikuwa jambazi sugu. Steve kwa sasa ni mhubiri katika kanisa la faith evangelism na licha ya kuwa mhubiri steve ameweza kuwabadilisha vijana wengi ambao wamekuwa wakijishughulisha na uhalifu na hata ukahaba katika mitaa za mabanda za korogosho na mathare.