Watu 17wafariki katika ajali Kilifi na Voi
23rd February, 2013
watu kumi na saba walifariki kufuatia ajali mbili, katika maeneo ya Voi na Kilifi mapema hii leo. Huko watu kumi na wawili wakifariki papo hapo, baada ya basi lao lililokuwa likielekea Mombasa kutoka Nairobi kugongana na lori. Huko kilifi watu watanao waliangamia kwenye ajali baada ya matatu ya abiria kugongana na gari la watalii.