News : Abiria 19 wauawa katika ajali Molo
2nd January, 2013
Watu 19 wamethibitishwa kufariki na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika barabara ya Olengu-ruoine kuelekea Molo. Inakisiwa kuwa matatu hiyo iliyopoteza mwelekeo na kuanguka kwenye timbo ilikuwa imebeba abiria 28 badala ya idadi rasmi ya abiria kumi na wanne wanaohitajika.watu wengine 6 walifariki katika ajali ya barabarani usiku wa jana katika kaunti ya meru. Je kunani?
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv