News : Ajali yawaua maafisa 4 Malindi
9th December, 2012
Maafisa watano wa polisi wa kitengo cha utawala wamefariki ilhali abiria kadhaa wamepata majeraha mabaya baada lori lililokuwa limewabeba maafisa hao kuhusika kwenye ajali mbaya ya barabarani na basi moja katika barabara kuu ya malindi kuelekea Mombasa. Kufikia sasa uchunguzi umeanzishwa ili kubaini kiini cha ajali hiyo.
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv