29th June, 2021
Uhaba wa fedha na ucheleweshaji wa mgao wa fedha zinazotengewa serikali za kaunti kutoka wizara ya fedha kwenye kaunti ni moja wepo wa changamoto ambazo zimeathiri utekelezaji wa ugatuzi nchini tangu katiba ya mwaka 2010 ianze kutekelezwa…haya ni kulingana na mwenyekiti wa baraza la magavana Martin Wambora ambaye ametoa taswira inayotathmini safari ya utekelezaji wa ugatuzi nchini…wambora hata hivyo amesisitiza kuwa afya imeimarishwa zaidi kwenye kaunti kufikia sasa kama anavyoarifu Daniel Kariuki