Utajiri uliofichika katika mifugo ya ngamia
20th December, 2014
Upo utajiri mkubwa kwenye mifugo maarufu katika eneo la kaskazini ya nchi ambaye huweza kustahili kiangazi na ukosefu wa maji. Ni ajabu kwamba taswira ya ufukara hujengeka kwenye mawazo ya wakenya kila wanapowaona wafugaji wanachunga ngamia kwenye nchi kavu wajira au mandera.