Habari za kaunti

Katibu mkuu wa chama wafanyikazi nchini COTU Francis Atwoli amewakashifu baadhi wabunge kutoka mkoa wa magharibi wanaopinga azma ya naibu waziri mkuu musalia mudavadi ya kuwania wadhifa wa urais naye mbunge wa gichugu martha karua amesema kwamba ataukataa mshahara wake kama mbunge baada ya mwisho wa mwezi wa disemba mwaka huu kwa kigezo kuwa muda wake wa kuhudumu kama mbunge utakuwa umekamilika.

Related Topics

kaunti