×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Idadi ya watu walioripotiwa kutoweka yafikia 360; limesema Shirika la Msalaba Mwekundu

Familia zilizowapoteza wapendwa wao katika eneo la Shakahola kaunti ya Kilifi zinazoendelea kujitokeza huku idadi ya watu walioripotiwa kupotea ikiongezeka hadi 360.

Kulingana na mshirikishi wa Shirika la Msalaba Mwekundu eneo la Pwani Hassan Musa, watu 198 miongoni mwa waliopotea ni walio chini ya miaka kumi na minane.

Musa aidha anadai kuwa hatua hiyo inadhihirisha kuwa watoto wameathirika zaidi na matukio yanayofungamana na dini ya mchungaji Paul Mackenzie.

Wakati uo huo, Musa amebainisha kuwa huenda ikachukua muda mrefu familia hizo kuwatambua wapendwa wao kutokana na kile anachodai kuwa huenda wengine bado wamesalia katika msitu wa Shakahola.

Haya yanajiri huku upasuaji wa miili inayoendelea kufukuliwa ukitarajiwa kuaanza hapo kesho .

Get Full Access for Ksh299/Week
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in