×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]
Premium

Wazazi wahofia nyongeza ya karo ya shule

News

Chama cha wazazi nchini kimewataka walimu kutoongeza karo ya ziada wiki hii wanafunzi wanapofungua shule kwa muhula wa pili.

Mwenyekiti wa chama cha Wazazi tawi la Homa Bay Julius Omuga, amehofia kwamba huenda baadhi ya walimu wakuu wakaongeza karo licha ya muhula wa pili kuwa mfupi.

Akiongea na Radio Maisha kwa njia ya simu, Omuga amewataka walimu kukamilsha silabasi vyema bila kuwaongezea wazazi gharama yoyote. 

Aidha amehimiza walimu kuzingatia viwango vya karo vilivyoidhinishwa na Wizara ya Elimu.

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week