Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetangula ametanagza kuwa wazi nyadhfa za ubunge katika Eneo Bunge la Kandara na Garissa Mjini.
Kupitia taarifa katika Gazeti Rasmi la Serikali Spika Wetnagula amesema hatua hiyo inafuatia uteuzi wa Alice Wahome na Adan Duale kuwa mawaziri.