×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Magoha awaonya walimu dhidi ya kuwachapa wanafunzi

Serikali imesisitiza kwamba haitaruhusu adhabu ya vibiko dhidi ya wanafunzi katika shule za humu nchini. Waziri wa Elimu Profesa George Magoha amesema haifai walimu kuwashurutisha wanafunzi kupata alama za juu katika mitihani.

Akizungumza katika Shule ya Msingi ya Wagwer Kaunti ya Siaya, Waziri Magoha amesema mwalimu anayesemekana kumwadhibu kwa kumchapa mwanafunzi katika Shule ya Msingi ya Nyamninia atachukuliwa hatua. Magoha amesema  maafisa wa polisi na wale wa Tume ya Huduma za Walimu TSC wanashirikiana katika uchunguzi huo.

Get Full Access for Ksh299/Week
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in