×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Nusu ya mali zangu zote ni zako: Diamond’s loving message to mum on birthday

African News
 Sanura Kasimu

On 8th July, Diamond Platnumz’s mother Sanura Kasimu was treated to a one of a kind birthday.

Through a long Instagram post, Diamond declared undying love for his mother while urging her to love all her grandchildren as she loved him.

“Katika kusheherekea siku yako hii kuu ya kuzaliwa, ningeomba pia, kama unipendavyo mwanao pia uwapende wajukuu zako wote, kwani ni wadogo na hawana hatia wala hawajui chochote” he stated.

Diamond further hailed his mum for bringing him up despite the myriad of challenges faced, including being harassed and looked down upon.

The Bongo crooner also pointed out that Sanura will always be the first priority in his life and that should he die the next day, she will get half his wealth.

“Ikitokea kesho nimekufa pia nusu ya mali zangu zote ni zako,” wrote Diamond.

Rally Jones' wishes

Sanura’s lover Rally Jones wasn’t left out either as he raised eyebrows, referring to her as ‘my wife’ while wishing her a happy birthday.

“I feel so happy to have such a special woman by my side. May God give you long life Inshallah. Happy Birthday my Wife Mama Dangote. I love you,” he wrote, sparking rumours they might have had a secret wedding.

 

I can't Stop Wishing you Happy Birthday Mom... Coz i Love you So Much, na Najua kias gani pia Unanipenda Mwanao, Unanipenda kias kwamba hata Unachukia yoyote anaejaribu kufanya kitu cha kuniharibia Katika Maisha Yangu...Utanilinda na kunitetea Hata kama pengine mgomvi nilikuwa ni mimi Mwanao, ila you will always be on my side......Katika Kusheherekea siku yako hii kuu ya kuzaliwa, ningeomba Pia, kama Unipendavyo Mwanao pia Uwapende wajukuu zako wote, kwani ni wadogo na Hawana hatia wala hawajui chochote...Najua wakati mwingine wazazi wao wanakukwazaga sana, kutokana na Issue zetu Binafsi za mimi na wao kukuingiza wewe ama kukuletea lawama wewe ilhali maskini ya Mungu hata napowatoaga hujui, unaonaga tu na wewe ghafla niko na flani.... na kwa umri nilofikia hata kama hupendezwi kias gani, ila huwezi nichapa viboko ama kunicontrol kuwa eti kwanini niko na fulani....hivyo ni kosa langu mimi binafsi ila wao wanatakaga kukupa lawama kama wewe jaji wa mahusiano yangu... ila kwa Upendo wako kwangu naomba Unisamehe mie kwani ndie Chanzo cha Hayo yote... na Uwapende Wajukuu zako wote kwani ni watoto na hawajui chochote.....Na wakukwazapo Wazazi wao Wakuwahukumu wao hata wakitumia ngao ya watoto kukukwaza.......Watu wa Mitandaoni watasheherekea na kuunda timu kwa faida za Mam za watotoila si kwa faida za watoto maana hakuna hata mkoja alowai nichangia hata ela ya pempaz kwanhawa watoto, na wakimaliza kuchonganisha familia yetu kupitia mitandao, wao wanarudi makwao kukaa na nafamilia zao huku weww wnakutengenezea matabaka katika familia yao.....Mama angu kipenzi familia nilokuletea Mwanao ni @deedaylan @princess_tiffah @princenillan , hao ndio familia yako tokea kwangu, na siku nikioa huyo ndio atakuwa mwengine kwenye Famiia..... Nakupenda sana na Nakutakia Maisha maref yenye furaha na Afya Tele Mama????????????????@mama_dangote????????????????

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on Jul 7, 2018 at 9:20am PDT

 

Nasikitikaga sana Wanapojaribu Kulinganisha Thamani yako kwangu na Mtu yoyote...Na kusahau kuwa pasipo wewe kunizaa na Kunilea kwa shida na tabu leo hii hakuna yoyote ambae angeniona wamaana..... Ikiwa wewe ndio Ulonifanya mie nikawa Duniani Basi you will always be My First priority then the rest will follow...Dharau na Manyanyaso Ulopitia kwenye kunilea Hakuna anejua, Tabu na shida Ulizopitia kufanya hadi leo walau nionekane mtu mbele za watu.. eti mtu kirahisi tu anatokea na kukuringanisha na mtu... Mama MADALE is your House!!! na ikitokea kesho nimekufa pia NUSU ya Mali zangu zote ni zako...!!! Mwanao Napambana Usiku na Mchana Kwanza kwajili yako, Walau Ujifariji kwa Magumu Ulopitia kwa kunilea kwangu, i want you to Enjoy the life as Much as You can, Maana sina cha kukulipa zaidi ya Hicho????????...HAPPY BIRTHDAY MAMA I LOVE YOU SANA???????????? @mama_dangote

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on Jul 6, 2018 at 9:08pm PDT

Related Topics


.

Popular this week

.

Latest Articles