×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Mwili wa Tom Okwach mmoja wa wachimba migodi waliofukiwa na mchanga wakiwa hai ndani ya Mgodi wa Abimbo umepatikana miezi saba tu baada ya kisa hicho kuripotiwa katika kaunti ya Siaya.

Hali ya mkanganyiko wa hisia imeshuhudiwa nyumbani kwa Tom Okwach mmoja wa wachimba migodi waliofukiwa na mchanga wakiwa hai ndani ya chimbo la Abimbo, katika Kaunti ya Siaya baada ya mwili wake kupatikana miezi saba tangu alipotoweka.

Familia ya marehemu imesema imefurahi kupata mwili wa mpendwa wao licha ya kujawa na huzuni wakati mabaki ya mwili huo yalipokuwa yakitolewa.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in