×
App Icon
The Standard e-Paper
Informed Minds Prefer The Standard
★★★★ - on Play Store
Download Now

Wajua kuwa kisiwa cha Mombasa kilikuwa ni zizi la simba na chui?

Picha hii inaonyesha sehehu moja kisiwani Mombasa katika miaka ya 1940 na 1950 yenye msitu ambao yasemekana mlikuwemo wanyama pori hususan simba na chui.

Leo hii Mombasa ni mji uliokua na kujengwa si haba, huku matokeo ya hesabu ya watu yalotolewa majuzi yakionyesha kwamba sasa hivi Mombasa iko na idadi ya watu 1,208,333.

Mji huu ambao ndio kitovu cha biashara na viwanda katika eneo la pwani pamoja na kuwa mji mkuu wa pili nchini, uko na historia ndefu ambayo imejumulisha karne nyingi zilizopita.

Get Full Access for Ksh299/Week
Unlock the Full Story — Join Thousands of Informed Kenyans Today
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in