SAMBILI: HAMNA USHIRIKINA 10/04/09

Waziri wa michezo Hellen Sambili amepuzilia mbali madai kwamba Harambee Stars ilipoteza mchuano wake dhidi ya Tunisia kwa sababu ya ndumba. Mkurugenzi wa kiufundi Patrick Naggi alikuwa amedokeza awali kwamba huenda ushirikina ulitumika na kupelekea kuduwazwa kwa Kenya. Hata hivyo kama alivyogundua Hassan Jumaa, wakenya bado wanaamini kwamba ndumba hizi zipo!