Mwenyekiti wa chama cha KANU , Gideon Moi amekuwa kiongozi wa hivi punde kutuma risala za rambi rambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwakilisi Wadi Benson Kiptire.
Moi amemtaja Kiptire kuwa rafiki wa karibu vilevile kuchangia maendeleo alipokuwa Mwakilishi Wadi wa eneo la Kipyego kupitia chama cha KANU.