×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Margaret Kobia amtetea Passaris dhidi ya makabiliano na Gavana Mike Sonko

Waziri wa Huduma za Umma na Masula ya Vijana na Jinsia, Margret Kobia amemtetea Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Nairobi, Esther Passaris dhidi ya makabiliano ya maneno baina yake na Gavana Mike Sonko wakati wa hafla ya Madaraka.

Utetezi huu unajiri baada ya Sonko kuendelea kumkejeli Passairis katika mitandao ya kijamii licha ya kumkashifu wakati wa maadhimisho hayo ya kitaifa.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics