Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Rais Kenyatta analenga ushirikiano wa Umoja wa katika Ujenzi wa makazi

Rais Uhuru Kenyatta sasa  analenga ushirikiano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Makazi ili kufanikisha ajenda ya serikali kuhusu makazi ya bei nafuu.

Rais Kenyatta amesema licha ya kwamba hatua mahususi zimepigwa katika kufanikisha ajenga nne za serikali, uhaba wa makaazi unaendelea kuwa changamoto kwa serikali yake.

Akizungumza kwenye Ukumbi wa KICC wakati wa mkutano wa UN -Habitat, Rais amesema pana haja kwa wanachama wote 36 wa muungano huo kushirikiana ili kuimarisha makazi.

Rais aidha ameonesha utayarifu wa serikali kutekeleza ajenda zake nne kuu kabla ya kukamilika kwa muhula wake.
Amelalamikia ukuaji wa kasi wa mitaa ya mabanda akisema imechangia kwenye uharibifu wa mazingira nchin.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News

Related Topics