Polisi mjini Mombasa wamewakamata wanawake 12, raia wa Nepal

Maafisa wa Polisi wa Kaunti ya Mombasa wamewakamata wanawake kumi na wawili wa taifa la Nepala walioingia nchini bila stakabadhi muhimu.

Wanawake hao wamekatawa katika klabu moja eneo la Kwale walikokuwa wakiwaburudisha wateja. Mmiliki wa Klabu hiyo Asif Jetha amesema kuwa vilevile amekatwa.

Kando na kukamatwa kwao, maafisa wa polisi vilevile walifanya msako na kukusanya, fedha, simu na stakabadhi zitakazo saidia katika uchunguzi.

kumi na watatu hao wmezuiliwa katika kituo cha Polisi cha Nyali.

SEE ALSO :Mavazi yanayomweka kiongozi wa kike kwenye mizani

For the latest news in entertainment check out Sde.co.ke and Pulser.co.ke , for everything sports visit Gameyetu.co.ke and ladies we have you covered on Evewoman

WanawakePolisiNepal