×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Serikali yawasihi Wakulima kupanda mimea inayokua haraka kufuatia hofu ya kiwango kidogo cha mvua mwaka huuu

Serikali imeanzisha mikakati ya kudhibiti kilimo cha mahindi na bei ya unga wa ugali kufuatia kuchelewa kwa mvua ya kufanikisha upanzi wa mimea mwaka huu.

Akithibitisha kupokea malalamishi ya Wakenya wengi kuhusu ongezeko la bei ya unga wa mahindi, Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri amesema upungufu wa mahindi yanayoweza kukidhi hitaji la wananchi kutoka kwa wakulima wa humu nchini ndiyo sababu kuu inayoathiri bei ya unga.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in