×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Polisi wamenasa bangi baada ya gari lililokuwa likiisafirisha kupata ajali Naivasha

Gari dogo aina ya Toyota Saloon lililokuwa likisafirisha misokoto ya bangi limehusika kwenye ajali katika barabara kuu ya Nairobi Nakuru.

Watu wawili wamejeruhiwa kwenye ajali hiyo iliyofanyika karibu na Shamba la Dalemare katika Eneo la Naivasha.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in