×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Mwili wa msichana wapatikana umetupwa mjini Mombasa

Mwili wa msichana mwenye umri wa kati ya miaka 20 na ishirini na mitatu umepatikana umetupwa kando ya barabara kwenye eneo la Mwembelegeza Bamburi Kaunti ya Mombasa mapema leo.

Naibu Chifu wa eneo hilo, Victor Charo amesema mwili huo umepatikana na majeraha kadhaa ishara kwamba huenda msichana huyo ameuliwa.

Charo aidha amesema kwamba msichana huyo haishi katika mtaa huo hivyo huenda ameuliwa mahali kwingine na kutupwa eneo hilo.

Mwili wa msichana huyo umepelekwa katika hifadhi ya maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Coast General ambako utafanyiwa upasuaji huku polisi wakiendeleza uchunguzi kufuatia kisa hicho.Mwili wa msichana mwenye umri wa kati ya miaka 20 na ishirini na mitatu umepatikana umetupwa kando ya barabara kwenye eneo la Mwembelegeza Bamburi Kaunti ya Mombasa mapema leo.

Naibu Chifu wa eneo hilo, Victor Charo amesema mwili huo umepatikana na majeraha kadhaa ishara kwamba huenda msichana huyo ameuliwa.

Charo aidha amesema kwamba msichana huyo haishi katika mtaa huo hivyo huenda ameuliwa mahali kwingine na kutupwa eneo hilo.

Mwili wa msichana huyo umepelekwa katika hifadhi ya maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Coast General ambako utafanyiwa upasuaji huku polisi wakiendeleza uchunguzi kufuatia kisa hicho.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Related Topics