×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Daktari aliyeaga dunia Cuba kuzikwa kesho

Daktari Hamisi Ali aliyeaga dunia nchini Cuba akiwa katika mafunzo yanayofadhiliwa na serikali ya Kenya atazikwa hapo kesho katika eneo la Shika Adabu, Likoni Kaunti ya Mombasa.

Related Topics