×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Shillingi bilioni 17 ghushi zapatikana Barclays

Maafisa wa Kiktengo cha Flying Squad wamekita kambi katika Benki ya Barclays Tawi la  Queens, Jijini Nairobi, kuchunguza kupatikana kwa shilingi bilioni 17, fedha bandia zinazodaiwa zilikuwa zikipelekwa katika benki hiyo. 

Tayari washukiwa watatu ambao ni Wakenya wawili na raia mmoja wa kigeni wamekamatwa kwa kuhusishwa na fedha hizo.  

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Barclays Queensway