NEMA yapiga marufuku mifuko

Mamlaka ya Kitaifa ya Utunzi wa Mazingira, NEMA imepiga marufuku mifuko inayotumika kwasasa katika maduka mbalimbali  ambayo iliidhinishwa kutumika baada ya kupigwa marufuku kwa karatasi za plastiki mwezi Agosti mwaka uliopita.

Kwa mujibu wa tangazo la NEMA, marufuku hiyo itaanza kutekelezwa tareje 13 mwezi Machi mwaka huu na yeyote atakayepatikana akitengeneza, kuuza au kutumia mifuko hiyo atakabiliwa kisheria.

Register to advertise your products & services on our classifieds website Digger.co.ke and enjoy one month subscription free of charge and 3 free ads on the Standard newspaper.