''Usambazaji wa umeme kuathirika kuanzia kesho'' Imesema Kenya Power

Huduma za umeme zitaathirika hapo kesho kwenye maeneo mbalimbali nchini kufuatia hatua ya kampuni ya Kenya power kulenga kukarabati mitambo yake.

Kwenye taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari ni kwamba, miji mbalimbali ikiwamo Nairobi itaathirika kutokana na hali yenyewe.

Kenya power imewasihi Wakenya kuwa wavumilivu wakati huo kwani inalenga kuboresha huduma zake kwa wateja wake.

Do not miss out on the latest news. Join the Standard Digital Telegram channel HERE.

UmemeKenya Power