Msanii mkongwe wa muziki muziri wenye mahadhi ya mapenzi kutokea Pwani ya Kenya hatimaye amemwaga manyanga kuhusu maisha yake na familia yake kwa ujumla.
Nyota Ndogo aka Mwanaisha Abdallah mkali wa ‘Watu na Viatu’ ameachia waraka wake kuhusu masaibu ya familia yake ambapo amesimulia yoyete ameyapitia na kukabiliana nayo pia mahusiano yake na mama yake mzazi. Soma alichopost hapa chini;