×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Mwili wa mamaye mhubiri Pius Muiru wapatikana


Na Sofia Chinyezi
NAIROBI, KENYA, Mlinzi wa boma la mamaye mhubiri Pius Muiru, anazuiliwa baada ya kukiri kumuua mwanamke huyo. Maafisa wa upelelezi waliupata mwili wa Cecilia Wangari Mwangi siku moja baada ya kuripotiwa kutoweka, ukiwa umezikwa katika kaburi moja nyumbani kwake eneo la Murang'a. Mshukiwa ndiye aliyewaelekeza maafisa hao hadi eneo alikomzika.

Kamanda wa Polisi Kaunti ya Murang'a, Naomi Ichami anasema mlinzi huyo na mkaza-mwana wa Wangari wanazuiliwa, na kwamba wote watakaotajwa vilevile watahojiwa.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in