Siku chache tu baada ya mwenyekiti wa chama cha ANC kaunti ya Vihiga Sikalo Ochiel kumukashifu mbunge wa eneo bunge la Vihiga Bw. Yusuf Chanzu ambaye pia anawania kusimama ugavana eneo hilo kupitia chama kwa hicho katika mkutano mmoja wilaya ya vihiga kwa kusema kuwa mbunge huyo hafuati utaratibu wake kama mwenyekiti,