×

Theme feature- relationships [Swahili]

Mtazamaji mapenzi ni nini.mapenzi yanatoka wapi na je niende wapi au nifanye nini nipate mapenzi ya kweli? Haya ndio baadhi tuu ya maswala ambayo wengi hujiuliza pale wanapowaona wawili wakipendana au mapenzi kwenda mrama. Lakini kwa Bwana na Bi Govi kwao walikuwa hawana budi ila kufanya kila mbinu ili kupata mapenzi ya kweli ikiwemo kuweka picha zao  katika mtanadao, kwani kwao kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa upishi katika mapenzi