Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Familia ya Cholmondey yakubali kutoa fidia

Na, Mike Nyagwoka,

Huku mazishi ya mwana wa mlowezi Lord Delamere, Tom Cholmondeley yakitarajiwa kufanyika Ijumaa, hatimaye familia ya Samson ole Sisina aliyekuwa afisa wa KWS aliyeuliwa kwa kupigwa risasi na Cholmondeley miaka sita iliyopita, imeshusha pumzi baada ya kufidiwa na familia ya Dalemere.
Familia hiyo ambayo juzi ilifanya tambiko kwenye kaburi la ole Sisina, sasa itapewa mifugo 50 ya fidia waliyodai, kwa kumtaka wakili wako, Katwa Kigen kusitisha mazishi ya Chomodley hadi wafidiwe.
Cholmondeley aliga dunia wiki iliyopita alipokuwa akifanyiwa upasuaji kwenye mfupa wa paja.
 

 

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Fact-first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News

Related Topics