×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Standard group journalist testimonies

Kama taaluma yeyote uandishi wa habari, pia una changamoto zake, ufanisi wake na vile vile panda shuka nyingi. Lakini si mara nyingi, waandishi wa habari hupata jukwaa la kusema yao- maanake jukumu lao la msingi ni kuwa sauti ya wanyonge. Uadilifu wa hali ya juu, kusema ukweli bila ya kubinywa na kuwa wazi ni msingi wa mwandishi yeyote wa habari. Na licha ya kuwa kenya imepiga hatua katika uhuru wa vyombo vya habari, tishio kwa taaluma hii na vile vile waandishi wa habari hazijasita. Ndio shuhuda waliziotoa waandishi wa habari wa shirika la standard.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in