Dedan Kimathi memorial

Aghalabu chema kinapotoweka machoni ni rahisi kusahaulika lakini kwa jamaa na marafiki wa aliyekuwa mpiganaji wa vita vya mau mau Dedan Kimathi hawawezi kuisahau hisani ya mzalendo huyo,ndiposa walikutana kuadhimisha miaka 55 tangu kukamatwa na kuuawa kwake .maadhimisho hayo yaliyohudhuriwa miongoni mwa na viongozi wa serilali yalifanyika katika eneo alilokamatwa mzalendo huyo.