Madereva wa taxi jijini Nairobi wanaishi kwa hofu baada ya wenzao watatu kupatikana wakiwa wameuawa katika muda wa wiki moja. Leo asubuhi mwili wa dereva wa taxi katika eneo la Madaraka ulipatikana ukiwa na majeraha ya kichwa. Hii ikiwa ni mojawapo ya misururu ya mauaji ya madereva wa taxi hivi majuzi