×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Matatu strike watch

Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyikazi nchini COTU Francis Atwoli ametangaza kwamba mgomo uloioitishwa wa sekta ya usafiri umekomeshwa, hata baada ya kudhihirika kwamba mgomo huo haukufanyika kama ilivyotarajiwa. Hali ya taharuki ilikuwa imetanda katika vituo vya magari ya maeneo ya Kawangware na Kangemi asubuhi ya leo kufuatia hofu ya kuzuka kwa ghasia. Huyu hapa Damaris Kitavi na mengi zaidi.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Matatu strike watch