×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Mfangano street blast

Jiji la Nairobi leo hii liliamkia tukio la shambulizi la bomu ambalo lilifanyika katika baa moja inayotambulika kama Mwaura ambayo ipo kwenye barabara ya Mfangano hapa jijini nairobi . Mlipuko huo unasemekana kusababishwa na gurenedi lililotupwa ndani na baa hiyo na kusababisha kujeruhiwa kwa watu 12. Hata hivyo haijabainika aliyesababisha mlipuko huo. Mwanahabari wetu Saida Swaleh ana mengi zaidi.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in