×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

KCSE 2011 begins

Mitihani ya kitaifa ya kidato cha nne mwaka huu ilianza rasmi saa mbili na nusu asubuhi ya leo. Hata hivyo hali haikuwa shwari kwa wanafunzi 40 wa shule moja ya kibinafsi mjini kisii kisii baada ya kuhadaiwa na uongozi wa shule hiyo ambao haukuwasajili wanafunzi hao kwa mitihani hiyo. Shule hiyo kwa jina upbridge academy  ilikosa kuwasajili wanafunzi hao bila kuwataarifu, kwa kisingizio kwamba  baadhi  yao walikuwa wazembe darasani na kwamba wangefeli hata ikiwa wangefanya mitihani hiyo.
Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

KCSE