×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Tuju launches presidential bid - Swahili

Raphael Tuju sasa ni mgombeaji wa kumi n a mmoja kutangaza nia ya kuirithi ofisi ya rais baada ya rais Mwai Kibaki kustaafu mwakani. Tuju amesema kwamba manifesto yake imewpa vijana kipau mbele. Sasa tuju amejiuzulu rasmi kama afisaa wa ushauri katika ofisi ya rais mwai kibaki ili kuanza kampeini za kujinadi kwa wakenya kama mgombeaji wa urais.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in