×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Mashahidi Wazungunuza

Hatimaye mbunge wa Eldoret kaskazini William Ruto amewasilisha rasmi malalamishi dhidi ya tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu anayodai iliwahonga mashahidi ili kutoa taarifa potofu kumhusu. mapema hii leo jamaa wawili, Ken Barzizi wekesa na William Kipkemboi rono walijitokeza na kudai kwamba walilipwa na tume hiyo ya kitaifa ya haki za binadamu ili kutoa ushahidi potofu unaomlenga William Ruto. lakini licha ya kuzungumza na waandishi habari katika nyumba walimokuwa wanaishi huko kilimani,taarifa zao zilionekana kukanganyana.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in